Breaking

Wednesday, 12 October 2022

LIVE: BALOZI WA TANZANIA NCHINI UGANDA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU

 
 Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima, anazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom moja kwa moja kutokea jijini Kampala - Uganda.

Wanahabari wote wanakaribishwa. Jinsi ya Kushiriki;

Bofya ~bit.ly/3SQ89GH

Au tumia

Meeting ID: 815 1157 2797

Passcode: 690269

NB. Muda wa kujiunga na mkutano ni saa 10:45 am. Tuzingatie MUDA.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages