Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum unaofanyika Oktoba 08, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana
Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya Maendeleo na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Shinyanga, Singida na Tabora
shiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~https://bit.ly/3ruO6Bs
Au kupitia
Meeting ID: 838 5356 8564
Passcode: 501287

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Biashara Tanzania (NMB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania