Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum unafanyika Oktoba 10, 2022 (Jumatatu) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana
Mada; Yaliyojiri na Mafanikio ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan nchini Qatar
Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~https://bit.ly/3e84eG4
Au kupitia
Meeting ID: 890 3113 0378
Passcode: 812050
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Karibu.