Breaking

Friday, 21 October 2022

LIVE: KARIAKOO DERBY: KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA NA YANGA, NANI MBABE?



Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum unaofanyika Oktoba 21, 2022 (Ijumaa) kuanzia saa 9 kamili Alasiri hadi saa 11:30 jioni

Mada; Kariakoo Derby; Kuelekea Katika Mchezo wa Simba na Yanga, Nani Mbabe?

Muda ukifika (Saa 9 kamili alasiri, Oktoba 21, 2022 - (Ijumaa) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3CwsmKB
Au kupitia

Meeting ID: 885 0593 8305

Passcode: 136999

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Karibu.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages