Breaking

Friday, 30 September 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: HALI YA USALAMA NCHINI NA OPERESHENI ZA JESHI LA POLISI

 
 Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum utakaofanyika Septemba 30, 2022 (Ijumaa) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana

Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya Hali ya Usalama nchini na Operesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi

Muda ukifika (Saa 5 kamili, Septemba 30, 2022 - (Ijumaa) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3UINkOu

Au kupitia

Meeting ID: 872 9780 7845

Passcode: 124714

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages