Breaking

Saturday, 24 September 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: FURSA ZA KIUCHUMI ZINAZOPATIKANA MIKOA YA SIMIYU, GEITA NA SONGWE

 
 Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum utakaofanyika Septemba 24, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana

Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Simiyu, Geita na Songwe

Muda ukifika (Saa 5 kamili, Septemba 24, 2022 - (Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~bit.ly/3QVDUfv

Au kupitia

Meeting ID: 871 1939 6811

Passcode: 511223

Mkutano huu utarushwa mubashara Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages