Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Dkt. Sophia Mjema akizungumza jambo katika kikao cha maafa cha mkoa wa Shinyanga kilichokutana kupanga mikakati ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi pamoja na kuangalia na kufuatilia bei ya bidhaa.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko akizungumza jambo katika kikao cha maafa cha mkoa wa Shinyanga kilichokutana kupanga mikakati ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi pamoja na kuangalia na kufuatilia bei ya bidhaa.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Festo Kiswaga akichangia jambo katika kikao cha maafa cha mkoa wa Shinyanga kilichokutana kupanga mikakati ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi pamoja na kuangalia na kufuatilia bei ya bidhaa.
Katibu tawala msaidizi uchumi na uzalishaji Berda Chamatata katika kikao cha maafa cha mkoa wa Shinyanga kilichokutana kupanga mikakati ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi pamoja na kuangalia na kufuatilia bei ya bidhaa.
*******
Dkt. Mjema ametoa ushauri huo wakati wa kikao cha maafa cha mkoa wa Shinyanga kilichokutana kupanga mikakati ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi pamoja na kuangalia bei ya bidhaa na kufuatilia.
Hata hivyo mkuu huyo wa mkoa amesema mkoa wake unaziada ya chakula na kutoa wito kwa wananchi kutunza chakula hicho Ikiwa Ni Tahadhari kutokana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi.
Katibu tawala msaidizi uchumi na uzalishaji Berda Chamatata amesema mkoa wa Shinyanga unakadiliwa kuwa na Watu milioni 1,993,589 na mahitaji ya chakula tani laki 472,979 na uzalishaji wa msimu uliopita wa mwaka 2021/2022 ni tani laki 484,501 .
Kaimu meneja wa wakala wa hifadhi ya chakula mkoa wa Shinyanga Joseph Maige amesema wana chakula cha kutosha kwenye hifadhi yao kwa ajili ya mikoa 8 kwenye kanda yao huku meneja wa TMA Mkoa wa shinyanga Amesema msimu huu mvua ni chini ya Wastani.