Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum unakaofanyika leo Septemba 26, 2022 (Jumatatu) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana
Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya Faida za Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan nchini Msumbiji
Muda ukifika utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~shorturl.at/eIQR2
Au kupitia
Meeting ID: 822 6760 9454
Passcode: 673330
Mkutano huu unarushwa mubashara Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital.
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania