Breaking

Saturday, 17 September 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: FURSA ZA KIUCHUMI ZINAZOPATIKANA LINDI, RUVUMA NA MTWARA

 
 Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya kusini - Lindi, Ruvuma na Mtwara

Muda ukifika (Saa 5 kamili, Septemba 17, 2022 - (Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3RA3RTa

Au kupitia

Meeting ID: 824 7596 0934

Passcode: 94399

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania



Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages