Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya kaskazini mwa Tanzania - Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara
Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3R3a5dR
Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3R3a5dR
Tazama live hapa chini
Au kupitia
Meeting ID: 820 4583 6760
Passcode: 388252
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania