Breaking

Friday, 26 August 2022

RAIS SAMIA ATEUA KAMISHNA MKUU WA JESHI LA MAGEREZA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Kaimu Kamishna wa Magereza Huduma za Urekebu, SACP Mzee Ramadhan Nyamka kuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza.

Anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Meja Jenerali Suleimani Mzee ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara.


Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages