Breaking

Saturday, 27 August 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: FURSA ZINAZOPATIKANA MAREKANI, CANADA, BRAZIL NA CUBA

Watch Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum 


Mada:Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa mbalimbali zinazopatikana Marekani, Canada, Brazili na Cuba.

Muda ukifika (Saa 10 kamili, Agosti 27, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3PCxrpa

Au kupitia
Meeting ID: 83215535581
Passcode: 603885


Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.


Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages