Breaking

Wednesday, 31 August 2022

LIVE: BALOZI WA TANZANIA NCHINI BRAZIL ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU


Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Brazil, Mheshimiwa Prof.Adelardus Kilangi akizungumza na waandishi wa habari moja kwa moja kutoka jijini Brasilia nchini Brazil kuelezea majukumu mbalimbali ya ubalozi na namna ambavyo wanashiriki kuziainisha fursa mbalimbali kwa ustawi bora wa uchumi.


Balozi wa Tanzania nchini Brazili, Prof. Adelardus Kilangi atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom siku ya Jumatano, Agosti 31, 2022, saa 5 kamili asubuhi kwa Saa za Tanzania.

Wanahabari wote wanakaribishwa. Jinsi ya Kushiriki;

Bofya ~https://bit.ly/3e96Sek

Au tumia
Meeting ID: 841 8142 2095
Passcode: 636867

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages