Breaking

Wednesday, 6 July 2022

AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA KWA KUMBAKA BIBI WA MIAKA 61



Mahakama ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma imemhukumu Bahati Haule (26) 
mkazi wa kijiji cha Kingoli,  kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kumtia hatiani kwa kosa la ubakaji.

Akisoma hukumu hiyo hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo, Christina Haule amesema Bahati alitenda kosa hilo Novemba mosi mwaka 2021 katika kijiji hicho kwa kumbaka ajuza wa miaka 61.


Source: Azam Tv
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages