Breaking

Friday, 3 June 2022

WIZARA YA MADINI KUTOA ELIMU KWA WACHIMBAJI NA WAZEE WA MILA ARUSHA

Wataalam kutoka Wizara ya Madini Leo tarehe 3 Juni, 2022 watatoa semina maalum kwa  wazee wa Mila wilayani Longido Mkoa wa Arusha kwa ajili ya kuelemisha masuala mbalimbali itakayohusu Sekta ya Madini ikiwemo elimu ya Sheria ya Madini, Uchimbaji na usimamizi wa mazingira katika maeneo ya uchimbaji.


Aidha, watatoa elimu kuhusu ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini (Local Content) na Wajibu wa Makampuni kwa Jamii zinazonguka migodi (CSR).


Endelea kufuatilia Lango la habari kwa taarifa zaidi

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages