Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa ya hadi Mita 2 vinatarajiwa katika baadhi ya Mikoa iliyopakana na habari ya Hindi ikiwemo Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara.
Pia vipindi hivyo vya upepi vinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Ziwa nyasa katika mikoa ya Ruvuma na Njombe.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI