Breaking

Friday, 10 June 2022

TAZAMA HAPA ORODHA YA WATUMISHI 1,048 WALIOBADILISHIWA VITUO VYA KAZI




Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa uhamisho watumishi 1,048 wa kubadilisha vituo vya kazi pekee. 

Watumishi hao ni wale walioomba uhamisho kuanzia Mwezi Februari-Mei,2022z

Aidha amewakumbusha watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuwa uhamisho wa kwenye Halmashauri za Majiji, Manispaa na Miji umesitishwa mpaka hapo itakapotangazwa vinginevyo.

Amewataka watumishi waliopata uhamisho huu kusubiria barua kwenye Halmashauri zao na sio kufika Ofisi ya Rais-TAMISEMI kufuata barua hizo.

Orodha ya Majina ya Watumishi waliohamishwa inapatikana kwenye Tovuti ya www.tamisemi.go.tz


 FUNGUA HAPA KUONA UHAMISHO WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KUANZIA FEBRUARI - MEI, 2022




Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages