Breaking

Thursday, 30 June 2022

RAIS SAMIA AMTEUA MABEYO KUWA MWENYEKITI BODI YA NCCA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu Majeshi nchini Tanzania mstaafu,Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCCA)
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages