


Wakili wa kujitegemea Constantine Mutalemwa akizungumza katika Warsha ya uhamasishaji wadau kuhusu kanuni za wamiliki manufaa (beneficial owners) iliyofanyika leo Juni 02, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha Benki Kuu Mkoani Mwanza.
Afisa habari wa BRELA, Njwaba Mwaijibe akiwakaribisha wageni katika Warsha ya uhamasishaji wadau kuhusu kanuni za wamiliki manufaa (beneficial owners) iliyofanyika leo Juni 02, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha Benki Kuu Mkoani Mwanza.
Baadhi ya wadau walishiriki katika Warsha ya uhamasishaji wadau kuhusu kanuni za wamiliki manufaa (beneficial owners) iliyofanyika leo Juni 02, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha Benki Kuu Mkoani Mwanza.
Mdau akichangia mada walishiriki katika Warsha ya uhamasishaji wadau kuhusu kanuni za wamiliki manufaa (beneficial owners) iliyofanyika leo Juni 02, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha Benki Kuu Mkoani Mwanza.
Mdau akichangia mada katika Warsha ya uhamasishaji wadau kuhusu kanuni za wamiliki manufaa (beneficial owners) iliyofanyika leo Juni 02, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha Benki Kuu Mkoani Mwanza.
(Picha zote na Samir Salum, Lango la habari)