Breaking

Thursday, 2 June 2022

JESHI LA POLISI KUFANYA UCHUNGUZI MAUAJI YA MTOTO ANAYEDAIWA KUUAWA NA DADA WA KAZI




JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa, linaendelea kufanya uchunguzi juu ya tukio la mtoto (jina linahifadhiwa) mwenye umri wa miaka nane ambaye ni mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi Anazak mkazi wa Kimara aliyekutwa amefariki dunia chumbani kwake akiwa amelala.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages