Breaking

Thursday, 16 June 2022

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA MIKOA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amefanya uamisho na mabadiliko kwa baadhi ya maofisa wa polisi wa mikoa.


Kupitia taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Juni 16, 2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi SACP David Misime,imeeleza kuwa  aliyekuwa Kamanda wa Polisi Tarime Rolya Kamishna msaidizi wa polisi ACP William Mkonda anakwenda kuwa Mkuu wa Kikosi cha usalama Barabarani kanda Maalum ya Dar es Salaam akichukua nafasi ya Kamishna Msaidizi ACP Abdi Isango ambaye atakuwa Mkuu wa Opereshen Mkoa wa Mbeya../


TAARIFA ZAIDI SOMA HAPA CHINI;











Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages