Breaking

Saturday, 14 May 2022

RAIS SAMIA ARIDHIA NYONGEZA YA MISHAHARA KWA ASILIMIA 23.3




Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa 23.3%.


Nyongeza hiyo imefanyika kwa kuzingatia pato la Taifa,mapato ya ndani yanayotarajiwa kukusanywa mwaka 2022/23 na hali ya uchumi ndani na nje ya nchi .


Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages