Breaking

Thursday, 12 May 2022

WAZIRI MBARAWA ATOA CHETI KWA BRELA KUFANIKISHA MKUTANO WA WAKANDARASI DODOMA

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (katikati) akimkabidhi cheti cha Udhamini Afisa Usajili kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw.Gabriel Girangay (kulia) kutambua mchango wa taasisi hiyo katika kufanikisha Mkutano wa Wakandarasi unaofanyika tarehe 12-13 Mei, 2022 kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Kauli mbiu ya mkutano huo ni "Umuhimu na mchango wa Wakandarasi katika Uchumi wa Tanzania".

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa alipotembelea Banda la Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), katika kufanikisha Mkutano wa Wakandarasi unaofanyika tarehe 12-13 Mei, 2022 kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Kauli mbiu ya mkutano huo ni "Umuhimu na mchango wa Wakandarasi katika Uchumi wa Tanzania".

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages