Breaking

Friday, 20 May 2022

PICHA: PROF.KIKULA ATEMBELEA MAONESHO YA KWANZA YA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI



Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula akiwa katika picha ya pamoja na na viongozi waandamizi wa Wizara ya madini pamoja na taasisi zake katika maonesho ya Mkutano wa kwanza wa utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya madini unaofanyika katika ukumbi uliopo Rock City Mall Jijini Mwanza Kuanzia leo Mei 20 hadi Mei 22, 2022.

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula akiwa katika picha ya pamoja na na viongozi waandamizi wa Wizara ya madini pamoja na taasisi zake na uongozi wa Mkoa wa Mwanza katika maonesho ya Mkutano wa kwanza wa utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya madini unaofanyika katika ukumbi uliopo Rock City Mall Jijini Mwanza Kuanzia leo Mei 20 hadi Mei 22, 2022.
Soma hapa: USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA SEKTA YA MADINI WAFUNGUA FURSA ZA AJIRA, UWEKEZAJI KWA WAZAWA

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula akiwa katika moja ya banda la maonesho ya Mkutano wa kwanza wa utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya madini unaofanyika katika ukumbi uliopo Rock City Mall Jijini Mwanza Kuanzia leo Mei 20 hadi Mei 22, 2022.




















Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages