Breaking

Tuesday, 31 May 2022

MAFUTA YASHUKA BEI, KUANZA KESHO JUNI MOSI, 2022, TAZAMA HAPA BEI MPYA

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano Juni Mosi, 2022

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages