Breaking

Thursday, 5 May 2022

LIVE: WAZIRI BASHUNGWA AKITOA TAARIFA YA UKUSANYAJI WA MAPATO YA HALMASHAURI ROBO TATU YA MWAKA 2021/2022

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na vyombo vya habari kutokea Dodoma kuhusu taarifa ya UKUSANYAJI wa Mapato ya Ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages