Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazo anza kutumika kuanzia leo Jumatano, Mei 4, 2022.
EWURA imesema 93% ya ongezeko la bei limechangiwa na mabadiliko ya bei katika soko la dunia.
TAZAMA HAPA CHINI