Thursday, 5 May 2022

BREAKING: WAZIRI BASHUNGWA AFANYA MABADILIKO YA WAKUU WA VITENGO VYA FEDHA WA HALMASHAURI




Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Vitengo vya Fedha wa Halmashauri (Wekahazina).

Waziri Bashungwa ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 05, 2022 Jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya Halmashauri kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa Fedha 2021/22.

Waziri Bashungwa  amewabadilishia vituo Wakuu wa Vitengo hivyo 109, kuwabadilishi majukumu Wakuu wa Vitengo vya Fedha 16 huku 72 wakiendelea kubaki kwenye Vituo vyao vya awali na 3 wakiwa kwenye matazamio.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages