Breaking

Saturday, 30 April 2022

WAKALA WA POGBA AFARIKI DUNIA

 




Na Ayoub Julius, Lango la habari 


Aliyekuwa wakala maarufu ulimwenguni raia wa Italia Mino Raiola amefariki dunia leo Tarehe 30 April 2022 ambapo alikuwa akiugua kwa takribani mwezi mmoja mpaka mauti yalipomkuta. 


Raiola aliyezaliwa mwaka 1967 amefariki akiwa na umri wa miaka 54. 


Raiola ni wakala maarufu katika ulimwengu wa soka akifanya biashara na wachezaji wenye majina makubwa ulimwenguni kama vile Paul Pogba,Zlatan Ibrahimovic,Erling Halaand,Matthjis De Light na wenzingine wengi. 


Ulimwengu wa soka umeondokewa na mtu mahiri aliyeleta chachu na mabadiliko makubwa katika soko la soka ulimwenguni.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages