Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muundaaji wa Filamu ya Royal Tour Peter Greenberg wakati wakijibu maswali ya Wageni mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu uzinduzi wa ‘THE ROYAL TOUR’ katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani.
TAZAMA HAPA CHINI