Tamasha kubwa la wajasiliamali na kuhamasisha Sensa Kanda ya ziwa linatarajiwa kufanyika Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga kuanzia May 09, 2022 hadi May 15, 2022.
Tamasha hilo litatoa fursa mbalimbali ikiwemo maonesho ya biashara, fursa za uwekezaji kwa vijana pamoja na utalii wa ndani kupitia Filamu ya The Rour Tour.
Endelea kufuatilia Lango la habari kwa taarifa zaidi