Breaking

Sunday, 17 April 2022

PICHA: NAIBU WAZIRI KATAMBI ALA PASAKA NA WATU WENYE ULEMAVU DODOMA




Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu Wizara ya kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu ambae pia ni Mbunge Shinyanga mjini Leo Jumapili April 17, 2022 ,sikukuu ya pasaka amekula chakula na walemavu katika kituo cha Samaria kilichopo kata ya Hombolo Dodoma.


Kituo cha Samaria kilichopo kata ya Hombolo ni moja ya kituo kinachotoa huduma kwa walemavu,wazee,ukoma na ugonjwa wa macho.


Katika Hafla hiyo Naibu Waziri Katambi ameahidi kutoa ushirikiano wa kutosha katika kuwapunguzia changamoto za kimaisha,miundombinu Kama sehemu ya idara katika Wizara yake














Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages