
Msemaji wa Timu ya mpira wa miguu ya Klabu ya Yanga, Haji Manara amemvaa Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda baada ya makonda kudai kuwa, kuna mkakati unaoratibiwa na makundi matano kwa ajili ya kuangamiza maisha yake.
Makonda ameyaeleza hayo jana Jumatatu April 11, 2022 kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiyataja makundi hayo na kujiuliza mambo mawili.
Kutoka Ukurasa wa Instagram ya Paul Makonda (Baba Keagan) ameandika kuwa;