Breaking

Tuesday, 12 April 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA, SABABU NA ATHARI ZAKE

 WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano huu Maalum unaofanyika leo Aprili 12, 2022 (Jumanne) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7 na nusu mchana.

Mada:Ongezeko la Bei ya Mafuta; Sababu za ongezeko na Athari zake

Unaweza kujiunga katika mjada huu moja kwa moja kwa kubofya kupitia kiunganishi hiki cha; https://bit.ly/37yOnN9

Au kupitia

Meeting ID: 84455320024

Passcode: 355357

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili kwa pamoja sababu za Ongezeko la Bei ya mafuta na Athari zake. Usikose!

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages