Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM wamemchagua Abdulrahman Kinana kuwa makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kwa kura za ndiyo 1875.
Wajumbe waliopiga kura 1875, kura halali 1875, hakuna za hapana wala zilizoharibika.
Hivyo kinana ameshinda kwa Asilimia 100