Breaking

Friday, 22 April 2022

BREAKING: MASHIRIKA 29 YASIYO YA KISERIKALI (NGO'S) YAFUTIWA USAJILI


 

Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mujibu wa kifungu cha 7 (1) (e) cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya mwaka 2002 inaujulisha Umma kuwa imefuta NGOs 29 kuanzia tarehe 22 Aprili, 2022. 






Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages