Breaking

Thursday, 3 March 2022

BAADA YA MIEZI MITATU BOSS ABAINI "HOUSEGIRL" WAKE NI MWANAUME







Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, amezua taharuki mitandaoni kwa kusimulia yaliyomkuta baada ya kubaini kuwa mtu aliyemwajiri kama mfanyakazi wa ndani mwanamke 'house girl' sio wa jinsia ya kike bali ni mwanaume.

Mwanamke huyo amebaini kuwa huyo si mwanamke baada ya kumfanyia kazi kwa takribani miezi mitatu.

Baada ya ugunduzi huo wa kushangaza, mwanamke huyo aliita Jeshi la polisi kumkamata.

Kwenye video hiyo, mwanamume huyo anaoneshwa akiwa amekaa chini akiwa amevaa sidiria, suruali ya kike na alikuwa amevaa wigi kichwani kwake.

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages