Breaking

Tuesday, 22 February 2022

LIVE:RAIS SAMIA AKISHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA UTUMISHI WA KIASKOFU - NGARA

TAZAMA HAPA 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wa Kiaskofu (1997-2022) ya Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge, Ngara mkoani Kagera leo tarehe 22 Februari, 2022

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages