Breaking

Wednesday, 23 February 2022

LIVE: RAIS SAMIA AKIFUNGUA SHULE YA UONGOZI, KIBAHA - PWANI


Uzinduzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere (Mwalimu Julius Nyerere Leadership School) Mjini Kibaha mkoani Pwani ambapo panatajwa ndipo mahali rasmi ambapo sasa zile fikra zake za kulikomboa Bara la Afrika zitatekelezwa kwa vitendo kwa sababu watapatikana viongozi ambao watakuwa na uzalendo wa hali ya juu kwa kuwa mafunzo watakayopata hapo yatahakisi na yataelekeza Itikadi na falsafa za Mwalimu Nyerere.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages